Lamomy na
Nuzulati
Mim naheshimu watu wote humu ndani, ilaa kitendo cha yeye kuninanga ndio kilinikera.
Angekua ni mvulana mwenye akili angekuja akasema oya ww binti acha moja mbili tatu hilo la kwanza.
La pili swala la kuonyesha kama mim niilikua na mahusiano nae ni swala la uongo na kujimwambafy hata shemeji enu wa kweli kaona haya mambo kashangaa. Kwa sababu hata ule uzi aliuona.
Kingine ni kua my love
Lamomy huyo alokutumia hizo pdf ungemwambia tu akatafute kitu cha kufanya kwa sababu hata ww umlipi kwa kua chawa wako😘😘😘😘😘😘😘 ( ungemuita akasoma hili pia)
Haya mambo wapenzi tuishieni nayo hapa cz tunakoelekea tutapigwa ban na mim sitak kupigwa ban cz bado naipenda jf.
Haya tupange sare za party JF queens