Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO.
Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema:
نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم
"Wake zenu ni konde kwenu. Basi ziendeeni konde zenu vyovyote mpendavyo." (al-Baqarah 02 :223)
Zingatia kauli "basi ziendeeni konde zenu vyovyote mpendavyo." Konde ni mahali pa rutuba ambapo ni tupu ya mwanamke.
Hivyo ni halali kwa mume kufanya kitendo cha ndoa kwenye tupu ya mke vile ajisikiavyo na kwa namna yoyote. Msitupangie matumizi yake.
Kulingana na kanuni hii ya jumla, anaweza kunyonya maziwa ya mkewe. Hawi [mke] haramu kwake [mume] hata kama lau atakunywa maziwa yake. Haya ndio maoni ya jamhuri.
Imaam Muhammad bin Swaalih bin 'Uthaymiyn. Nuur 'alaad-Darb (16A)