Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

Status
Not open for further replies.
Na lazima usiielewe, kwa7bu UISLAM ni dini ya sheria,
Hizo Sheria ni nani anazisimamia , Mana mie nikikuhukumu ama nikikuua basi mie niwe mkamilifu nisiwe na dia Wala waa.
Mie nikuue kuwa umezini wakati huo huo unakuta mie nimezini ama nawaza kuzini.
Huwezi kuuelewa ukristo pia ni masuala ya kiroho zaidi na sio kimwli mie tunakutana nje naonekana nakupenda Ila moyoni sikupendi ama nishatamani mke wa jirani nimgonge nishaanza kuchagua hekalu la Mungu Mana nishaanza. Sasa hapo utdhibiti vipi mfano unachukia kiumbe alichoumba Mungu kwani yeye mwenyewe hawezi hata kumuua.
Emotion
 
ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO.

Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema:
نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم
"Wake zenu ni konde kwenu. Basi ziendeeni konde zenu vyovyote mpendavyo." (al-Baqarah 02 :223)

Zingatia kauli "basi ziendeeni konde zenu vyovyote mpendavyo." Konde ni mahali pa rutuba ambapo ni tupu ya mwanamke.
Hivyo ni halali kwa mume kufanya kitendo cha ndoa kwenye tupu ya mke vile ajisikiavyo na kwa namna yoyote. Msitupangie matumizi yake.

Kulingana na kanuni hii ya jumla, anaweza kunyonya maziwa ya mkewe. Hawi [mke] haramu kwake [mume] hata kama lau atakunywa maziwa yake. Haya ndio maoni ya jamhuri.
Imaam Muhammad bin Swaalih bin 'Uthaymiyn. Nuur 'alaad-Darb (16A)
Subhanallah!Yeshakuwa hayo tena?
 
Tatizo Kuna watu wanataka kutafsiri ili wakawaendee kinyume wake zao.
Allah kasema waeendeeni vile mpendavyo maana Ni konde yenye rutuba.
Konde yenye rutuba Ni mahali unapanda mbegu zinaota. Hapo Ni ukeni kwa mkeo ndo konde yenye rutuba.
Hakuna mtu hupanda mbegu kwenye shimo la choo akaita konde.
1000081310.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom