figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kwahiyo?Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.
Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Halafu mbona ana makalio makubwa !.Kwani ni uongo kwamba jamaa ni zero 🧠?
Kumbe na wewe uko wa hivyo!Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.
Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Makonda ana cheo Gani ccm mkoa wa dar ?Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.
Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Bashite ni mtoa maamuzi ya nini kwa Serikali ya awamu ya 6? Hebu tutolee matako makubwa hapaAlly Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.
Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Kwa hiyo kwa sasahivi ana vyeti?Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.
Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
We ndugu mbona unamshambulia sana.Bashite ni mtoa maamuzi ya nini kwa Serikali ya awamu ya 6? Hebu tutolee matako makubwa hapa
Sio kwamba Makonda ndiyo anapitia mikono ya Bananga?Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.
Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.
Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Ni ishara ya kwamba jamaa ni zero kichwani. Hakuna mwanaume smart kichwani akawa na makalio makubwa. 🤣Halafu mbona ana makalio makubwa !.
unataka kumfanya nini mkuu? huyo ni mwanaume mwenzioHalafu mbona ana makalio makubwa !.
Nasubiri jibu na mimi!Makonda ana cheo Gani ccm mkoa wa dar ?
Hawa vijana wamekaa kinanihii kabisa. Hakuna siri.Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.