Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.

Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.

Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Anatoa maamuzi gani??makonda hana cheo chochote chamani kama mpoki
 
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.

Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.

Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Ni Sawa lkn umesahau kwamba siasa haina rafiki Wala adui wa kudumu. Kinachodumu ktk politik Ni maslahi tu. Hao Sasa hivi Lao moja wako ktk mduara mmoja.
 
Kama Lema, Mbowe, Lissu, Msigwa, Benson Kigaila, Halima Mdee, Sugu na wengine waliweza kumuangalia, kumsogelea, kumpigia kampeni na kumpa mkono Edward Lowasa basi jua hakuna kinachoshindikana kwenye siasa.
 
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi.

Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob, walikuwa wanamnanga Makonda kwamba ana vyeti feki wakawa wanamuita Bashite Ziro brain.

Hii Dunia ni Duara. Safari hii Bananga amejikuta Makonda ni Boss wake. Aendelee kuongea maneno yake tuone.
View attachment 2717916
Ally Bananga Kushoto akiwa na Makonda huku akikosa wapi afiche sura yake
Bananga analelewa na mwanamke
 
Ndio Siasa ilivyo

hata alietangaza kuwa kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu ilikuwa michezo ya ndani ya Chadema sasa hivi anapanda nap jukwaa moja kupiga blaa blaa za kisiasa
 
baba Mungu kamuumba kila mja na rizq yake... rudi tupambane nayo
Shida zina mwisho wake
 
Back
Top Bottom