Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

Anatoa maamuzi gani??makonda hana cheo chochote chamani kama mpoki
 
Ni Sawa lkn umesahau kwamba siasa haina rafiki Wala adui wa kudumu. Kinachodumu ktk politik Ni maslahi tu. Hao Sasa hivi Lao moja wako ktk mduara mmoja.
 
Kama Lema, Mbowe, Lissu, Msigwa, Benson Kigaila, Halima Mdee, Sugu na wengine waliweza kumuangalia, kumsogelea, kumpigia kampeni na kumpa mkono Edward Lowasa basi jua hakuna kinachoshindikana kwenye siasa.
 
Bananga analelewa na mwanamke
 
Ndio Siasa ilivyo


hata alietangaza kuwa kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu ilikuwa michezo ya ndani ya Chadema sasa hivi anapanda nap jukwaa moja kupiga blaa blaa za kisiasa
 
baba Mungu kamuumba kila mja na rizq yake... rudi tupambane nayo
Shida zina mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…