Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Sijui kwanini only in Tz mtu akiumwa cha kwanza watu huwaza ni 'Ngoma'.... ajabu wengine hufurahi kabisa na 'nilijua' kibaoooo.

Ni ukosefu wa elimu au chuki iliyopitiliza?

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Chuki imepitiliza tu culture gal, watu hawajui ukikukosa wewe basi ndugu yako ataupata
 

Mchinga generation au G8 mwaka 2005

Kutoka kushoto Khadija Mnoga, Ally Choki, Banza Stone na Muumini Mwinjuma.

Ni mwaka huu aliibuka na nyimbo kama MWAKA WA TABU,KILA CHENYE MWANZO, na NGUZO TANO ZA MAPENZI.
 
Kuna swali nimeulizwa hapa sasa hivi na Mpwa wangu kuwa UKIMWI / DALLY KIMOKO uligundulika lini duniani na ni Mwafrika gani wa Kwanza kutoka Afrika ya Mashariki aligundulika nao nimeshindwa kumjibu na ili ' Kumzuga ' nimejifanya nimetoka nje naongea na Simu kumbe sijui jibu lake na bado amekaa Sebuleni ananisubiria nimpe jibu kwani anasema hilo Swali anahisi Kesho litakuwepo katika Mtihani wao wa Kumaliza darasa la Saba. Naombeni msaada jamani ili nisiumbuke!
 
Mjibu ni Popoma Mpwa wa Waitara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…