Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Najua na ndio maana wengi tuko alive mpaka leo hii.ila pia kutembea na mwenye tatizo sio lazima upate hilo tatizo mkumbuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua na ndio maana wengi tuko alive mpaka leo hii.ila pia kutembea na mwenye tatizo sio lazima upate hilo tatizo mkumbuke
SIHAMI JFNajua na ndio maana wengi tuko alive mpaka leo hii.
SIO MWISHO WA SIKU ILIKUWA NA MAELEZO TU YAKUJIKINGA NA UKIMWI, AU NACHANGANYAOrodha ya furaha?!
Watu kwa kufukua weakleaks siwawezi. Big up
Ha! Ha! Ha!Watu kwa kufukua weakleaks siwawezi. Big up
Chuki imepitiliza tu culture gal, watu hawajui ukikukosa wewe basi ndugu yako ataupataSijui kwanini only in Tz mtu akiumwa cha kwanza watu huwaza ni 'Ngoma'.... ajabu wengine hufurahi kabisa na 'nilijua' kibaoooo.
Ni ukosefu wa elimu au chuki iliyopitiliza?
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Hahahahaa,..ndiooSIO MWISHO WA SIKU ILIKUWA NA MAELEZO TU YAKUJIKINGA NA UKIMWI, AU NACHANGANYA
HahahahahaSIHAMI JF
YAANI NIMECHEKI KINOMA JINSI ULIVYOMJIBUHahahahaha
Sie wengine Jf ni kama boyfriend wa pili.
HahahahaYAANI NIMECHEKI KINOMA JINSI ULIVYOMJIBU
Mchimba kaburi uingia mwenyeweKamanda la Misiba nalo naliona.
Kwani wewe unataka kutuambia nini?!!Mbona sielewi wachangiaji humu yaani mnataka kumaanisha kuwa jamaa ana nini....[emoji56][emoji23]
Mjibu ni Popoma Mpwa wa WaitaraKuna swali nimeulizwa hapa sasa hivi na Mpwa wangu kuwa UKIMWI / DALLY KIMOKO uligundulika lini duniani na ni Mwafrika gani wa Kwanza kutoka Afrika ya Mashariki aligundulika nao nimeshindwa kumjibu na ili ' Kumzuga ' nimejifanya nimetoka nje naongea na Simu kumbe sijui jibu lake na bado amekaa Sebuleni ananisubiria nimpe jibu kwani anasema hilo Swali anahisi Kesho litakuwepo katika Mtihani wao wa Kumaliza darasa la Saba. Naombeni msaada jamani ili nisiumbuke!