Marahaba lakini...Babu mfukunyukuu...kamoo lakini[emoji16][emoji125]
Ya Aston Villa,walikuwemo akina Banza,Ndanda Kosovu......Dah aisee yupo kwenye list gani Mbona Siwaelewi [emoji5]
Wengine hupiga selfie na maiti au makaburi,huu uzao wa nyoka bure kabisa mkuu ,maadili yote wameyapeleka shimoni,eti mtu yupo msibani anapiga selfie na kusema kafiwaSehemu nyingi zenye umaskini wa kutupwa ndivyo hivyo. Hili ni suala la kisaikolojia. Umeshaona jinsi inapotokea ajali watu wanakimbilia kupiga picha kama ni jambo zuri? Imekuwa pia kawaida watu kudai picha za majeruhi au wafu wanaposoma kuhusu ajali au mikasa.
Maisha bhana ! Muumini Mwinjuma siku hizi anakunywa chai ya vitumbua na maharage kwa mama wawili Mtoni Mtongani !View attachment 858373
Mchinga generation au G8 mwaka 2005
Kutoka kushoto Khadija Mnoga, Ally Choki, Banza Stone na Muumini Mwinjuma.
Ni mwaka huu aliibuka na nyimbo kama MWAKA WA TABU,KILA CHENYE MWANZO, na NGUZO TANO ZA MAPENZI.
Nyau nyau......Enzi hizooo
Pastor alimuita mtoto usiku taa ikiwa imezimwa[emoji3]
Hahaha
Maisha bhana ! Muumini Mwinjuma siku hizi anakunywa chai ya vitumbua na maharage kwa mama wawili Mtoni Mtongani !
Allah amfanyie wepesiYule Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa Dansi aliyewahi kutamba na bendi za Twanga pepeta na Extra Bongo amelazwa kwenye hospitali ya Bugando , na imeelezwa kwamba hali yake hairidhishi.
Chanzo: Mwananchi
Ombi : tumsaidie apone .
"Nina mdodo wangu waangusha moja moja leo , Inama inuka eee , waangusha moja moja leo "View attachment 858267
Huyu si alioa Wake 4,bado anao au kashaongeza wengine?Maisha bhana ! Muumini Mwinjuma siku hizi anakunywa chai ya vitumbua na maharage kwa mama wawili Mtoni Mtongani !
Ha! Ha! Ha! inasemekana tangu amdhulumu mganga wake huko Bagamoyo mambo yote yakaharibika na wake wote wametoka nduki .Huyu si alioa Wake 4,bado anao au kashaongeza wengine?
Duh hii ni mpya,kwa hiyo Mkulima alikula mpaka mbegu?kweli Wanawake wa Dar Mungu anawaonaHa! Ha! Ha! inasemekana tangu amdhulumu mganga wake huko Bagamoyo mambo yote yakaharibika na wake wote wametoka nduki .
Dah aisee yupo kwenye list gani Mbona Siwaelewi [emoji5]
orodha ya nini?Ngoja utaona ule uzi wa orodha unafufuliwa
HA HA orodha ya nini?...au aliyowatafuna?....Pole mzee wa kijiko.Ngoja utaona ule uzi wa orodha unafufuliwa
Hii list naona wamebaki watatu ukifatilia wote ni kaugonjwa kalekale marehemu Diana aliutabiri.