Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Sehemu nyingi zenye umaskini wa kutupwa ndivyo hivyo. Hili ni suala la kisaikolojia. Umeshaona jinsi inapotokea ajali watu wanakimbilia kupiga picha kama ni jambo zuri? Imekuwa pia kawaida watu kudai picha za majeruhi au wafu wanaposoma kuhusu ajali au mikasa.
Wengine hupiga selfie na maiti au makaburi,huu uzao wa nyoka bure kabisa mkuu ,maadili yote wameyapeleka shimoni,eti mtu yupo msibani anapiga selfie na kusema kafiwa
 
View attachment 858373
Mchinga generation au G8 mwaka 2005

Kutoka kushoto Khadija Mnoga, Ally Choki, Banza Stone na Muumini Mwinjuma.

Ni mwaka huu aliibuka na nyimbo kama MWAKA WA TABU,KILA CHENYE MWANZO, na NGUZO TANO ZA MAPENZI.
Maisha bhana ! Muumini Mwinjuma siku hizi anakunywa chai ya vitumbua na maharage kwa mama wawili Mtoni Mtongani !
 
Yule Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa Dansi aliyewahi kutamba na bendi za Twanga pepeta na Extra Bongo amelazwa kwenye hospitali ya Bugando , na imeelezwa kwamba hali yake hairidhishi.

Chanzo: Mwananchi

Ombi : tumsaidie apone .

"Nina mdodo wangu waangusha moja moja leo , Inama inuka eee , waangusha moja moja leo "View attachment 858267
Allah amfanyie wepesi
 
Dah aisee yupo kwenye list gani Mbona Siwaelewi [emoji5]
astonvilla-jpg.269115
 
Choki alipozungumza na gazeti hili alisema kwamba yeye katika maisha yake hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diana, hivyo haelewi ni kwanini alitajwa.

"Mimi nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Lillian Internet ambaye alikuwa rafiki yake, kuna watu ambao mimi nawajua ambao ndiyo hasa wanapaswa kuzungumziwa," alisema Choki huku akiwataja wasanii wawili maarufu lakini wanahifadhiwa na gazeti hili.


Mzee wa farasi alikana mwaka 2010,maradhi hayafichiki jamani
 
Back
Top Bottom