Ni kweli kabisa,watu wanaongea tu humu kakini hujui kile kibinti ulichopita nacho au kibwana ulichopita nacho kama kipo au hakipi kwenye chain ya mtu ambaye ameukwaa,kama mzima shukuru mungu ila wengi huwa tupo kwenye chain ya ngono bila kujuaIla kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.
Kuna mda mawazo huja automatically ujue.Sitakagi kuwaza
Very true.Ni kweli kabisa,watu wanaongea tu humu kakini hujui kile kibinti ulichopita nacho au kibwana ulichopita nacho kama kipo au hakipi kwenye chain ya mtu ambaye ameukwaa,kama mzima shukuru mungu ila wengi huwa tupo kwenye chain ya ngono bila kujua
Ukimtegemea mwanadamu atakuangusha tuu mtegemee MunguTokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.
Eee bhana Mkuu kwani Mzee wa farasi kaungua kweli ? mbona wanasema ni malaria tu jamani !Kwa yale mauno ya diana hata mm ningepiga mbichi simlaumu mzee wa farasi hata kidogo
Njoo mtongani kwenye banda la chai la makuti kwa mama wawili saa 2 asubuhi utamkuta .Tokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.
ule uzinduzi wa kitabu cha LeKIBA100 ulifanyika? ulikuwa uzinduliwe na bashite nadhaniMkuu kitabu cha le baharia bado tu ?
Kwani wewe hupenda" wale wapenda ngono wazichunge tabia"..
Bash Boy hakutokea kwenye ile hafla sijui nani alikuwa mgeni rasmi.ule uzinduzi wa kitabu cha LeKIBA100 ulifanyika? ulikuwa uzinduliwe na bashite nadhani
Genye si kitu cha mchezo mkuu...kama ulivyosema labda hanithi or demu awe hana KHakuna asiyependa ngono... labda hanithi...sema tujidhibiti
Kama nini hakiponyeshekiKwani mkuu unajua anachoumwa?
Manake vingine haviponyesheki
kwa huyu alikuwa anauza nadhani na yy akaamua kuonja pishi lake ndo yallah tena!Hadija mnoga kawa teja?
Hivi kinondoni huwaga kuna tatizo gani?
Wachache sana hawabwii unga...
Kuna watu huwa wanajifanya wajanja....kwenye huu ugonjwa hakuna master ni ile tu unaepushiwa na Mwenyezi!Ila kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.
ningeshanga angetokea bashite asahivi anagundu la makontena ya makochi matrekta lazima aanguke nalo ni muda tu wacha abebwe mbeleko na malaikamkuu atachoka tu.Bash Boy hakutokea kwenye ile hafla sijui nani alikuwa mgeni rasmi.
huruma mno ila ndo maisha hatuna namnaHuyu Dada nilikuwa nampenda sana.
Ni kweli kabisa maana mtu ukijecheki ulipopita na ulivyo mzima kwa sasa,ni Muumba tuu ndio anatuepusha aisee.Kuna watu huwa wanajifanya wajanja....kwenye huu ugonjwa hakuna master ni ile tu unaepushiwa na Mwenyezi!
kwahiyo ulifanyika bila BASHITEBash Boy hakutokea kwenye ile hafla sijui nani alikuwa mgeni rasmi.