Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ally Choki alazwa Bugando, hali tete

Ila kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.
Ni kweli kabisa,watu wanaongea tu humu kakini hujui kile kibinti ulichopita nacho au kibwana ulichopita nacho kama kipo au hakipi kwenye chain ya mtu ambaye ameukwaa,kama mzima shukuru mungu ila wengi huwa tupo kwenye chain ya ngono bila kujua
 
Very true.
Huu ugonjwa sometimes sio wa kumcheka mwenzio hata kidogo.
Chain hii ni kubwa sana hasa kwa sisi ambao tuna na wapenzi nje ya mikoa.
Kiukweli ni kuomba tu Mungu aendelee kupigania.
Hali ni mbaya sana jamani
 
Tokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.
Ukimtegemea mwanadamu atakuangusha tuu mtegemee Mungu
 
Tokea tukio hilo ndipo nilipoamini kwambabaadhi ya wasanii wanatumia ndumba kutuchota tuwapende na wavume,alikuwa juu sana mpaka mganga yule alipojitokeza na kudai kudhulumiwa na muumin na kuhaidi atamfelisha,na kweli mambo ya muumini kuanzia pale yalienda kombo mpaka leo akapotea jumla.
Njoo mtongani kwenye banda la chai la makuti kwa mama wawili saa 2 asubuhi utamkuta .
 
Bash Boy hakutokea kwenye ile hafla sijui nani alikuwa mgeni rasmi.
ningeshanga angetokea bashite asahivi anagundu la makontena ya makochi matrekta lazima aanguke nalo ni muda tu wacha abebwe mbeleko na malaikamkuu atachoka tu.
 
Kuna watu huwa wanajifanya wajanja....kwenye huu ugonjwa hakuna master ni ile tu unaepushiwa na Mwenyezi!
Ni kweli kabisa maana mtu ukijecheki ulipopita na ulivyo mzima kwa sasa,ni Muumba tuu ndio anatuepusha aisee.
 
Back
Top Bottom