four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,408
Ni kweli kabisa,watu wanaongea tu humu kakini hujui kile kibinti ulichopita nacho au kibwana ulichopita nacho kama kipo au hakipi kwenye chain ya mtu ambaye ameukwaa,kama mzima shukuru mungu ila wengi huwa tupo kwenye chain ya ngono bila kujuaIla kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.