Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ukisikilliza sababu za watanzania kumpendekeza mtu kuwa au kutokuwa kiongozi unabaki unacheka tu.Kwa sababu tu umeona kapiga picha na nyanya ilula basi anafaa kuwa waziri?
Watanzania tuna safari ndefu Sana
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Kilimo cha umwagiliaji ndiyo chenye tija kwa Karne hii.Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Anakuwa na uzoefu na kujua hali halisi ya sekta hiyo. We unadhani mtu mwenye sifa gani ndiyo anafaa?Kwa sababu analima ? Duh you guys mnatoka wapi na hizi idea?
Unadhani mtu wa aina gani ndiye anafaa kuwa waziri wa kilimo? Si kwamba mtu anayelima atatufaa zaidi?Akili za watanzania bwana... Mungu ibariki Tanzania
Kwa akili hizi bila shaka hata masanja anafaa maana analima kuliko hata happyUnadhani mtu wa aina gani ndiye anafaa kuwa waziri wa kilimo? Si kwamba mtu anayelima atatufaa zaidi?
Ally hapi anajichokonoa!.... Na kutoa miguno yeye mwenyewe .... (Harakati za kusaka teuzi ili ukumbukwe kwenye ufalme wa mama kizimkakazi)Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Wakati wa Kikwete nchi ilijaa rushwa ya hali ya juu. Ilikuwa halali yake kupewa maneno mabaya. Kilimo cha umwagiliaji kina tija sana lakini siyo hicho cha matone. Mtu ameona watu wanamwagilia kwa matone naye anaiga bila kuangalia uhalisia.Kilimo cha umwagiliaji ndiyo chenye tija.
Ally Happy hafai kwa sababu ana utoto na ufala mwingi kichwani na hachagui la kuonge jukwaani.
Kipindi Alipokuwa kiongozi, alitukana Wastaafu wote akiwemo Kikwete. Mtu kama Kikwete pamoja na madhaifu ya binAdamu alitumikia nchi hili kwa bidii kubwa.
Kikwete Alipanua ajira kwa Vijana, elimu ya secondary na sekta ya afya. Ally Happy ni siyo mtu wa kumtukana Kikwete kwa sababu hamfikiia hata kwa 2% kiakili
Anaweza kutufaa pia sababu anauzoefu. We unafikiri ni mtu wa aina gani anatufaa? Si ajabu hufahamu hata.Kwa akili hizi bila shaka hata masanja anafaa maana analima kuliko hata happy
Mkuu kumbe saaa hivi rushwa imeisha?Wakati wa Kikwete nchi ilijaa rushwa ya hali ya juu. Ilikuwa halali yake kupewa maneno mabaya. Kilimo cha umwagiliaji kina tija sana lakini siyo hicho cha matone. Mtu ameona watu wanamwagilia kwa matone naye anaiga bila kuangalia uhalisia.
Drip irrigation ndiyo inaongoza kwa tija duniani pote. Prove it wrongWakati wa Kikwete nchi ilijaa rushwa ya hali ya juu. Ilikuwa halali yake kupewa maneno mabaya. Kilimo cha umwagiliaji kina tija sana lakini siyo hicho cha matone. Mtu ameona watu wanamwagilia kwa matone naye anaiga bila kuangalia uhalisia.
Unadhani ni mtu wa aina gani anatufaa kuwa waziri wa kilimo?Ally hapi anajichokonoa!.... Na kutoa miguno yeye mwenyewe .... (Harakati za kusaka teuzi ili ukumbukwe kwenye ufalme wa mama kizimkakazi)
Basi na uwaziri wa biashara apewe vinjabei au manji au bakhresa kabisa...Anaweza kutufaa pia sababu anauzoefu. We unafikiri ni mtu wa aina gani anatufaa? Si ajabu hufahamu hata.
Hapana. Jibu swali, unadhani mtu wa aina gani anafaa? Kwa nini unadhani Hapi hatufai?Mkuu kumbe saaa hivi rushwa imeisha?