Ally Hapi atatufaa kama Waziri wa Kilimo?

Kilimo cha umwagiliaji ndiyo chenye tija kwa Karne hii.

Ally Happy hafai kwa sababu ana utoto na ufala mwingi kichwani na hachagui la kuonge jukwaani.

Kipindi Alipokuwa kiongozi, alitukana Wastaafu wote akiwemo Kikwete. Mtu kama Kikwete pamoja na madhaifu ya binAdamu alitumikia nchi hili kwa bidii kubwa.

Awamu ya nne, Kikwete Alipanua ajira kwa Vijana, elimu ya secondary na kuimarisha sekta ya afya. Ally Happy siyo mtu wa kumtukana Kikwete kwa sababu hamfikiia hata kwa 2% kiakili na kwa mchango wake kwa Tanzania
ng'ombe wa magufuri hawawezi kukuelewa.....
 
Basi na uwaziri wa biashara apewe vinjabei au manji au bakhresa kabisa...
Sanaa apewe diamond, ujenzi akipewa master J si mbaya maana ana kampumi ya ujenzi. Au sio?
Wanauzoefu wowote wa uongozi na siasa(Yaani kufanya maamuzi na sera)?
 
Unadhani mtu wa aina gani ndiye anafaa kuwa waziri wa kilimo? Si kwamba mtu anayelima atatufaa zaidi?
Wapo wakulima wangapi wenye uzoefu? Kwann hao wasingechaguliwa maana wapo watu wana elimu kumzidi ally na ushawishi kumzidi ally
 
Hapana. Jibu swali, unadhani mtu wa aina gani anafaa? Kwa nini unadhani Hapi hatufai?
Mtu mwenye exposure anayeweza kufanya kazi kwa kushirikiana na wataalam si yule mtu anayehisi yeye anajua kila kitu.
Kuendesha serikali si kama kuendesha shughuli binafsi au familia. Waziri anakuwa na backup ya wataalam. That guy is full of himself na kulima pilipili na nyanya hakumfanyi kuwa mkulima mkubwa mkuu. Vuka boda uende hapo kenya uone kilimo kinavyofanywa, huenda ukarudi hapa ukasema sisi tunacheza.
Ni vile tu wale jamaa hawana ardhi ya kutosha na akina Kenyata walijimilikisha ardhi.
By the way hii nchi inahitaji mipango ya muda mrefu si kila waziri anayekuja anakuja na mpango wake. Tunahitaji mipango na mile stones kwa hiyo kila amayekuja anahakikisha anaendeleza mipango ile ile akiwa na lengo la kukamilisha milestone fulani kwa muda wake.
 
Umenena vema sana kiongozi
 
Hapana. Jibu swali, unadhani mtu wa aina gani anafaa? Kwa nini unadhani Hapi hatufai?
Waziri wa kilimo siyo lazima awe mkulima in nature. Anapaswa kuwa na akili nzuri na participatory policy evaluation and renewal ambayo Ally Hapi amevikosa vyote
 
Mtu mwenye exposure anayeweza kufanya kazi kwa kushirikiana na wataalam si yule mtu anayehisi yeye anajua kila kitu.
Kuendesha serikali si kama kuendesha shughuli binafsi au familia. Waziri anakuwa na backup ya wataalam. That guy is full of himself na kulima pilipili na nyanya hakumfanyi kuwa mkulima mkubwa mkuu. Vuka boda uende hapo kenya uone kilimo kinavyofanywa, huenda ukarudi hapa ukasema sisi tunacheza.
Ni vile tu wale jamaa hawana ardhi ya kutosha na akina Kenyata walijimilikisha ardhi.
By the way hii nchi inahitaji mipango ya muda mrefu si kila waziri anayekuja anakuja na mpango wake. Tunahitaji mipango na mile stones kwa hiyo kila amayekuja anahakikisha anaendeleza mipango ile ile akiwa na lengo la kukamilisha milestone fulani kwa muda wake.
Unafikiri hizo pilipili analima utaalamu kautoa wapi, unafikiri kasomea kulima pilipili na nyanya? Amesikiliza wataalamu na wazoefu ndiyo maana bado analima. Hatuwezi kuwa na shaka kuwa jamaa ni msikiliza wataalamu. Na unapofanya mipango ya muda mrefu lazima uhusishe watu wenye uzoefu na jambo hilo. Si wasomi wa makaratasini wanakaa wizarani na kuanza kuongea maneno makuba kama milestone, kilimo ni uti wa mgongo siasa ni kilimo, cha kufa na kupona, kilimo kwanza nk. Kumbe we mwenyewe akili kisoda hujui mtu anayestahili!
 
Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.

Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Ali Happy sio mkulima, bali huwa anapiga picha na mazao ya shambani. Ili ujue ni mkulima kweli anapaswa kukaa kwenye kilimo si chini ya miaka mitano. Sio huyo anayefanya maigizo na hela alizopora wafanyabiashara kipindi Cha dhalimu magu. Akibaki kwenye kilimo kwa miaka mitano mfululizo na kuendelea hela za wizi zitakuwa zimekata, hapo ndio kilimo ataanza kukifanya kwa mapato halali ya kilimo.
 
Back
Top Bottom