Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wakulima wadogo wanaweza kulisha nchi, aacha upuuzi na mawazo ya kimaskini, anayelima na kuvuna chini ya hekari 3 ni mazao ya kula yeye na familia yake.Tena anayelima eneo dogo zaidi ndiye anatufaa zaidi maana anajua changamoto za wakulima wadogo ambao ndiyo wengi. Hivi mlikatazwa kufikiri kimantiki?
tunataka mtu mwenye maono na siyo akili za mwendokasi za kipapasi kama zako.
Akili za sijui mkulima mdogo ndio mlituletea ma-viongozi hawana exposure wakaanza kuna kile mwenye hela ni mwizi.
shame on you kama una bando na hata kujisomea wengine wanafanyaje hujui.
umaskini siyo sifa ni laana, mlizoeshwa vibaya.
House of Lords huko UK haingii maskini.
Seneta USA hawaingii maskini.