Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #81
🤣😂🤣🤣😂😀Miaka yote 60 hakukuwahi tokea Waziri mwenye Maono kama Bashe Wala Rais mwenye utashi wa kukuza kilimo kama Samia.
Ndio maana chini ya uongo wao Kilimo Sasa hivi ni biashara sio kujikimu.Mazingira Bora aliyoweka Bashe na Samia ndio yamempeleka Hapi Shambani.