Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #41
Hiyo ni kwa mazao ambayo ni high values kama maua, mboga mboga au sehemu ambazo maji ni gharama sana. Huwezi kuwa unalima mahindi, maharage, ngano na mchele kwa drip irrigation.Drip irrigation ndiyo inaongoza kwa tija duniani pote. Prove it wrong
Madhara ya Moshi wa Mwenge🤣🤣🤣Akili za watanzania bwana... Mungu ibariki Tanzania
Watu wa chini huwa hawana skills za kuorganize watu. Pengine ndiyo maana ni watu wa chini.Hafai......kuwa CEO haimaanishi unafaa kuna watu chini ndio wanaoperform sema hawapewi airtime
unasema maua ni valuable kuliko Mahindi, maharage na ngano, vyakula ambavyo Watanzania tunahitaji kula mara tatu kwa siku? Paka hapa nimeshajua uwezo wako wa kufikiria. Sitakushauri tenaHiyo ni kwa mazao ambayo ni high values kama maua, mboga mboga au sehemu ambazo maji ni gharama sana. Huwezi kuwa unalima mahindi, maharage, ngano na mchele kwa drip irrigation.
Tumejaribu watu wa hivyo kwa miaka 60 tumefeli. Ni wakati wa kuwa na waziri wa kilimo mwenye uzoefu na anayejua uhalisia wa kulima.Waziri wa kilimo siyo lazima awe mkulima in nature. Anapaswa kuwa na akili nzuri na participatory policy evaluation and renewal ambayo Ally Hapi amevikosa vyote
Kisa kaposti picha za pilipili basi tu apewe uwaziri? Vijana wa nchi hii ni wa ovyo sanaMoja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Yesu wangu!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Unadhani mtu wa aina gani ndiye anafaa kuwa waziri wa kilimo? Si kwamba mtu anayelima atatufaa zaidi?
Sio watu wa chini namaanisha executive director....kwa kiswahili mkurugenzi mtendaji huyu ndio wa moto kwenye kampuni yoyoteWatu wa chini huwa hawana skills za kuorganize watu. Pengine ndiyo maana ni watu wa chini.
Tanzania Ina watu wajinga wajinga sana!Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Jambo dogo limekushinda kuelewa.unasema maua ni valuable kuliko Mahindi, maharage na ngano, vyakula ambavyo Watanzania tunahitaji kula mara tatu kwa siku? Paka hapa nimeshajua uwezo wako wa kufikiria. Sitakushauri tena
UVCCM akili zenu ndio zimefika hapo?Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
BAshe ni kichwa na kwenye hiyo wizara anatosha sana mpaka 2030 matunda ya kilimo hayaonekani haraka kama kupika maandazi mchakato wakilimo unagitaji uvumilivu maana matunda ya kilimo uchukua muda kidogo kuonekana.kwetu sisi wakulima ametupa uhakika wa upatikanaji wa pembe jeo,viuatilifu,mbegu Bora ,mifumo ya umwagiliaji mpaka soko la mazao yetu.naomba tumwache akamilishe mpango kazi wake kwenye hii wizara huyu mh ni genius na mbunifu.Moja ya tatizo kubwa kwenye kilimo ni mawaziri na viongozi kwa ujumla kutojua chochote kuhusu uhalisia wa kilimo. Hili ni tatizo toka uhuru wetu.
Bashe ni mmoja wa mawaziri aliyejitahidi kuleta ubunifu kwenye kilimo, kafanya kaz nzuri lakini amekosa kujua uhalisia wa kilimo. Ndiyo maana anafanya umwagiliaji wa matone.
Sasa kuna huyu mlima pilipili anaitwa Ally Hapi. Jamaa toka ametoka kwenye uongozi anafanya kazi hii. Haina shaka kuwa kufikia sasa anajua uhalisia wa kilimo kwenye nchi hii. Jamaa hawezi kutusaidia kama waziri wa kilimo?
View attachment 2868628View attachment 2868629
Kama Ukulima ndio kigezo cha kuwa waziri wa kilimo basi hapi hawezi kupewa uwaziri maana Kuna wakulima wakubwa sana na wenye mitaji nikubwa ,wazoefu kuliko hapi sasa atapewaje hapi tuwaache hao.Kilimo cha umwagiliaji ndiyo chenye tija kwa Karne hii.
Ally Happy hafai kwa sababu ana utoto na ufala mwingi kichwani na hachagui la kuonge jukwaani.
Kipindi Alipokuwa kiongozi, alitukana Wastaafu wote akiwemo Kikwete. Mtu kama Kikwete pamoja na madhaifu ya binAdamu alitumikia nchi hili kwa bidii kubwa.
Awamu ya nne, Kikwete Alipanua ajira kwa Vijana, elimu ya secondary na kuimarisha sekta ya afya. Ally Happy siyo mtu wa kumtukana Kikwete kwa sababu hamfikiia hata kwa 2% kiakili na kwa mchango wake kwa Tanzania.
Ally Happy anafaa kuwa mkulima wa pilipili na siyo waziri wa kilimo. Acheni utani na ofisi ya waziri wa kilimo.
Tena anayelima eneo dogo zaidi ndiye anatufaa zaidi maana anajua changamoto za wakulima wadogo ambao ndiyo wengi. Hivi mlikatazwa kufikiri kimantiki?UVCCM akili zenu ndio zimefika hapo?
Naona sasa bora wale chipukizi, akili zinazidi kudumaa badala ya kukua.
Mtu kulima heka 10 Ilula ndio awe waziri? Utapiamlo ule wa mwaka 1984 unaendela kwa UVCCM.
Yani unaonaje watanzania? Wapo Watu wanalima heka 200000 hapo Karatu, Mangula na Sumbawanga, shame on you!
Ulisema kuna watu wachini wanafanya vizuri ndiyo nikakujibu kuwa hawana organizational skills.Sio watu wa chini namaanisha executive director....kwa kiswahili mkurugenzi mtendaji huyu ndio wa moto kwenye kampuni yoyote
Kwa hiyo halimi?Tanzania Ina watu wajinga wajinga sana!
Sasa kuona hicho kiroba cha pilipili alicho post Ally Hapi huko Mtandao wa X tayari umejaa na kuamini Ally Hapi analima!
Juma mkole majaliwaWataje tuwajadili tuone kama wanafaa.