Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Asante magufuli hawana chaoUtaratibu wa zamani ukirudishwa wengi watakuwa wabunge wa term 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante magufuli hawana chaoUtaratibu wa zamani ukirudishwa wengi watakuwa wabunge wa term 1
Laiti angekuwa na Akili na anataka kujiweka mbali na Unafiki wake Uliotukuka wa Awali wala asingekubali Kuulizwa Swali hilo la 'Kimtego' na 'Kusanifiwa' na huyo Mwandishi wa Habari badala yake angemkwepa tu au angelikwepa.Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.
Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya ukumbi wa Jakaya kikwete unakofanyika mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mambo yaliyopita hayana msingi kwa sasa.
"Hakuna ubishi juu ya uwezo wa Mzee Kinana" ameeleza Hapi
Hapi ameeleza kuwa Kinana ni mtu mwenye uwezo, maarifa na uzoefu mkubwa kwenye siasa na ni mwalimu kwa watu wengi kwenye chama hicho.
"Kama vijana ambao tunaendelea kujifunza kwenye siasa za chama mambo ya nyuma nadhani hayana msingi kwa sasa hivi" aliongeza
Hiki kitoto kikapimwe mkojo siyo kizima kabisaaaaaaaaaaaaa!
Jazia na hii hapa
Kisi kiko mwakeMkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.
Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya ukumbi wa Jakaya kikwete unakofanyika mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mambo yaliyopita hayana msingi kwa sasa.
"Hakuna ubishi juu ya uwezo wa Mzee Kinana" ameeleza Hapi
Hapi ameeleza kuwa Kinana ni mtu mwenye uwezo, maarifa na uzoefu mkubwa kwenye siasa na ni mwalimu kwa watu wengi kwenye chama hicho.
"Kama vijana ambao tunaendelea kujifunza kwenye siasa za chama mambo ya nyuma nadhani hayana msingi kwa sasa hivi" aliongeza
Huyo ni kahaba na fuska kabisaHawa ndiyo wanasiasa " malaya malaya". Nyerere Jk
Kweli kabisa.Ndo maana mwanasiasa mwenye akili uchunga mdomo wake,
Waandishi wa habari wamtafute huyo jamaa aliyeko nyuma yake wazungumze naye anayechungulia, naamini kuna mengi zaidi ya kutujuza!Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mh. Ally Hapi amenukuliwa kuwa " Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa "
Hapi ameyazungumza hayo akiwa Jijini Dodoma ambapo kunafanyika mkutano mkuu maalumu wa CCM.
Lakini hapo nyuma kwenye utawala wa awamu ya 5, ni Ally Hapi huyu huyu aliyesema wastaafu wanawashwa washwa na mmoja ya wastaafu waliolengwa alikuwa Kinana. Leo hii ameibuka akimsifia.
NB:
Maisha bila unafki hayaendi - Edo Kumwembe
View attachment 2171379
Recycling ya ccm ni hatari sanaMkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.
Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya ukumbi wa Jakaya kikwete unakofanyika mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mambo yaliyopita hayana msingi kwa sasa.
"Hakuna ubishi juu ya uwezo wa Mzee Kinana" ameeleza Hapi
Hapi ameeleza kuwa Kinana ni mtu mwenye uwezo, maarifa na uzoefu mkubwa kwenye siasa na ni mwalimu kwa watu wengi kwenye chama hicho.
"Kama vijana ambao tunaendelea kujifunza kwenye siasa za chama mambo ya nyuma nadhani hayana msingi kwa sasa hivi" aliongeza
Haka kachawa kanafiki sana!
Hapo Rau madukani petrol bei gani?Mataga msifarakane
Huyu mjinga haswaMkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.
Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya ukumbi wa Jakaya kikwete unakofanyika mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mambo yaliyopita hayana msingi kwa sasa.
"Hakuna ubishi juu ya uwezo wa Mzee Kinana" ameeleza Hapi
Hapi ameeleza kuwa Kinana ni mtu mwenye uwezo, maarifa na uzoefu mkubwa kwenye siasa na ni mwalimu kwa watu wengi kwenye chama hicho.
"Kama vijana ambao tunaendelea kujifunza kwenye siasa za chama mambo ya nyuma nadhani hayana msingi kwa sasa hivi" aliongeza
PIA, Soma=> Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?