Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mh. Ally Hapi amenukuliwa kuwa " Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa "

Hapi ameyazungumza hayo akiwa Jijini Dodoma ambapo kunafanyika mkutano mkuu maalumu wa CCM.

Lakini hapo nyuma kwenye utawala wa awamu ya 5, ni Ally Hapi huyu huyu aliyesema wastaafu wanawashwa washwa na mmoja ya wastaafu waliolengwa alikuwa Kinana. Leo hii ameibuka akimsifia.

NB:
Maisha bila unafki hayaendi - Edo Kumwembe

 
Laiti angekuwa na Akili na anataka kujiweka mbali na Unafiki wake Uliotukuka wa Awali wala asingekubali Kuulizwa Swali hilo la 'Kimtego' na 'Kusanifiwa' na huyo Mwandishi wa Habari badala yake angemkwepa tu au angelikwepa.
 
ma bendera fata upepo yameanza kujifagilia matumbo yao………...
 
Hahaaa hii inaitwa usipempdenda kaja wapi ali bashiru kakurwa
 
Msicheze na biashara ya siasa, ukitafakari kwa kina utajua kuwa Mkulima na Mfanyabiashara ya bidhaa hawa ndy Wenye mbongo zilizotulia!!
 
Kisi kiko mwake
 
Waandishi wa habari wamtafute huyo jamaa aliyeko nyuma yake wazungumze naye anayechungulia, naamini kuna mengi zaidi ya kutujuza!
 
Recycling ya ccm ni hatari sana
 
Tunaweza kuwa na mawazo fikirika tukachekwa na hawa wanasiasa. Unajuaje baada ya kuongea yale maneno aliwafuata au kuwapigia simu na kuongea na wazee wastaafu akawaambia, "tafadhali wazee msinielewe vibaya, natumikia kafri nipate mradi wangu". Nao wakamjibu "Endelea kijana, na sisi tulipitia huko huko"
 
Huyu mjinga haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…