Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

Hakuna Adui wala Rafiki wa kudumu kwenye Siasa.
 
HAPI NI MNAFIKI SANA TENA SANA
 
Wanasiasa ni wanafiki sana!
 
Mbona anajibu asichoulizwa 😂😂😂.
Anatamani yale maneno aliowasema wastaafu yarudi kinywani ila ndo ivo sasa, anajifanya mzalendo wa kubumba nyambaf.
 
Hawa ni kuwaondoa hawana jipya ni kufuata upepo.Tanzania tunashindwa kupata watu wenye mawazo yao waliopo ni wa kusifia tu haswa kanda ya Singida
 
Sawa blaza Hapi nakubaliana na hoja- Kinana bila shaka ni jack of trades musimu wa kampeni-fundi bati Kinana, kibarua wa kungolea mpunga Kinana, mwalimu shule ya msingi Kinana..............................
 
Huenda shida sio kwenye utendaji wake wala uongozi wake bali ni makando kando mengine ambayo yalifanya aondoke; Perception kama watu wanadhani (hata kama sio kweli) kwamba ni mpigaji inapelekea kuonekana kwamba CCM ni chama cha Wapigaji yaani majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…