Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwa hiyo amekupandisha cheo kutoka msimamizi wa bustani zake na kuwa "semaji" lake huku JFili asisahaulike?Acha njaa.A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na kuona ya kwamba bila posti ya uteuzi hakuna maisha tena.
View attachment 2811540
Mmeshaanza kusifiana ili muonekaneA man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na kuona ya kwamba bila posti ya uteuzi hakuna maisha tena.
View attachment 2811540
nikimwangalia huyu kijana huwa sioni kitu kingine ila kiburi cha hali ya juu. hilo doa atatumia muda mrefu sana kulifuta.A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na kuona ya kwamba bila posti ya uteuzi hakuna maisha tena.
View attachment 2811540
Kwani Hilo shamba halifanyi kazi...?Ana mashamba wapi huyo Tapeli tu zaidi ya lile alilotudhulumu ekari 10 tulizomfungia drip system pale Nduli wakati akiwa RC Iringa nami nikiwa nafanya kazi USAID?