Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na kuona ya kwamba bila posti ya uteuzi hakuna maisha tena.
FB_IMG_1699791292117.jpg
 
View attachment 2811540
Kwa hiyo amekupandisha cheo kutoka msimamizi wa bustani zake na kuwa "semaji" lake huku JFili asisahaulike?Acha njaa.
 
A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na kuona ya kwamba bila posti ya uteuzi hakuna maisha tena.
View attachment 2811540
Mmeshaanza kusifiana ili muonekane
Huu ulafi wa madaraka mtaacha lini?kwani lazima ateuliwe yeye,Watz wenye sifa wapo wengi tu
Muda wake ulishaisha aendelee kulima tusikose pilipili
 
A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na kuona ya kwamba bila posti ya uteuzi hakuna maisha tena.
View attachment 2811540
nikimwangalia huyu kijana huwa sioni kitu kingine ila kiburi cha hali ya juu. hilo doa atatumia muda mrefu sana kulifuta.
 
Kima wewe Ali umekuja kujipigia debe umeona makonda kakumbukwa unahisi na wewe utaitwa
 
Back
Top Bottom