Hamna lolote anatafuta huruma ateuliwe tena, kama Mwigulu alivyofanya kumsifiwa jiwe, baada ya kutumbuliwa na jiwe huyu huyu
Mtafute Ben |Saa nane kuliko mliko mtupa awaombee msamaha mtateseka sana!
Kilimo hadi utimuliwe !
Vema. #Siasa ni Kilimo (Azimio la Iringa, 1972).πππ
Uko kama mwanangu. Hata ukimpa pocket money anaenda kununua mbegu za mbogamboga.Nampongeza sana huyo bwana mdogo mimi binafsi kilimo kipo kwenye damu.