Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

Mzee wa free Wi-Fi kwenye paji la uso.Tulikuambia wewe ,Sabaya,Konda na Kitwala mkashupaza shingo.Tena huyu Kitwala nikikutana nae popote ni mabanzi ndio mambo mengine yatafuata.
Kitwala salaam ikawa shida
 
Najaribu kiwaza kwa sauti ndogo sana! "Inaweza kuwa ni mbinu ya kujificha- "Money Lundering". Vyombo vya dola viliangalie hili jambo kwa jicho la kiintelijensia.
 
Hongera, Pambana kutengeneza ajira.
 
Kilio cha aliowanyanyasa alivyoingia ukuu wa wilaya ya kndoni .laana inamtafuna.
 
Nakupongeza kuwekeza kwenye kilimo na kuachana na hii awamu ya mafisadi.Tutakutana awamu nyingine ya kizalendo mwaka 2025
 
Nampongeza sana huyo bwana mdogo mimi binafsi kilimo kipo kwenye damu.
Iga ufe....

Mwenzako alishajipanga kifedha nk

Sasa kama wewe una hela yako ya kuungaunga usiende kulima

Ova
 
Najaribu kiwaza kwa sauti ndogo sana! "Inaweza kuwa ni mbinu ya kujificha- "Money Lundering". Vyombo vya dola viliangalie hili jambo kwa jicho la kiintelijensia.
Wana pesa hawa hawa watu

Ova
 
Back
Top Bottom