othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Usitukane mto kabla hujavuka mamba[emoji3061]Kwa Kweli mdomo unaumba
Mh Hapi kwa sasa ni Mkulima mkubwa wa Pilipili za " mwendokasi" zinazopendwa sana na Baniani
Kwa sasa Hapi amestaafu na mzee Kinana yupo ofisini, hii ndio dunia
Kiukweli Iringa ukiwa maskini maana yake umejitakia mwenyewe