Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

Mzee wa free Wi-Fi kwenye paji la uso.Tulikuambia wewe ,Sabaya,Konda na Kitwala mkashupaza shingo.Tena huyu Kitwala nikikutana nae popote ni mabanzi ndio mambo mengine yatafuata.
Kitwala Ni yupi embu rahisisha hi code

All in all ni kwamba jamaa Ni mpuuzi tu Kwanza anatumia pesa alizoziiba serekali I pmj na kula rushwa kuja kuekezaa hapa
 
Mimi kabla sijamjua huyo Mwagito tayari nilikuwa kwenye mfumo wa kilimo na kusema ukweli siwezi kuacha.
Unalima kweli mashamba makubwa kama ya al marhum mzee Mwamwindi au unajikongoja kwenye vinyungu mkuu?Hata hivyo,chapa kazi!
 
Hiki ni kielelezo ajira za ukuu wa mikoa na wilaya zinafaa kutumika kwa miaka mitano au chini ya hapo, wakishapata mitaji wawekwe wengine nao kujitafutia mitaji yao, na wasiangaliwe wanachama wa CCM pekee.
Hpn ujinga gani huu s rushwa na Kaz azitafanyikaaa Kwanzaa kwa kuwa kila mtu atafikiriaa mambo yake na kula rushwa kwa wingi wakijuwa kuwa wanakwenda kupoteza ajira zao hvyo Ni kwmab siondolewe kbsa kbsa. Tuwe na mkurugenzi ,das ,afsa tawala kwisha
 
Ccm ni ile ile ,kesho anaweza akawa waziri wa kilimo huyu,kinachomsibu labda alikanyanga waya tu sehemu
 
Kitwala Ni yupi embu rahisisha hi code

All in all ni kwamba jamaa Ni mpuuzi tu Kwanza anatumia pesa alizoziiba serekali I pmj na kula rushwa kuja kuekezaa hapa
Kitwala alikua mkuu wa wilaya ya Tabora nlishafanya nae kazi fulani.Alishamtia mtu ndani kisa kachelewesha chips,alishamuweka ndani jamaa kisa birthday .
 
Kwa Kweli mdomo unaumba

Mh Hapi kwa sasa ni Mkulima mkubwa wa Pilipili za " mwendokasi" zinazopendwa sana na Baniani

Kwa sasa Hapi amestaafu na mzee Kinana yupo ofisini, hii ndio dunia

Kiukweli Iringa ukiwa maskini maana yake umejitakia mwenyewe
 
Back
Top Bottom