othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Usitukane mto kabla hujavuka mamba[emoji3061]Kwa Kweli mdomo unaumba
Mh Hapi kwa sasa ni Mkulima mkubwa wa Pilipili za " mwendokasi" zinazopendwa sana na Baniani
Kwa sasa Hapi amestaafu na mzee Kinana yupo ofisini, hii ndio dunia
Kiukweli Iringa ukiwa maskini maana yake umejitakia mwenyewe
Kile kijitu kinastahili hjukumu kama ya Jiwe, kilikosa adabu kabisa. ngoja kipate kansa ya pilipili kichaaKwa Kweli mdomo unaumba
Mh Hapi kwa sasa ni Mkulima mkubwa wa Pilipili za " mwendokasi" zinazopendwa sana na Baniani
Kwa sasa Hapi amestaafu na mzee Kinana yupo ofisini, hii ndio dunia
Kiukweli Iringa ukiwa maskini maana yake umejitakia mwenyewe
umegeuza...usitukane mamba kabla hujavuka mto!Usitukane mto kabla hujavuka mamba[emoji3061]
Ni kawaida watu kubwata bila kutafakari kauli zao wakiwa makaziniKwa Kweli mdomo unaumba
Mh Hapi kwa sasa ni Mkulima mkubwa wa Pilipili za " mwendokasi" zinazopendwa sana na Baniani
Kwa sasa Hapi amestaafu na mzee Kinana yupo ofisini, hii ndio dunia
Kiukweli Iringa ukiwa maskini maana yake umejitakia mwenyewe
Nakubaliana na wewe mia miaKiukweli Iringa ukiwa maskini maana yake umejitakia mwenyewe
Madogo wanajisahau sanaNi kawaida watu kubwata bila kutafakari kauli zao wakiwa makazini
Tumbiri anaogopa kulima PilipiliHappi ni mfano bora wa kuigwa kwa kutekeleza dhana ya kujiajiri kwa vitendo
Tumbili yeye kila siku anaandaa mistari ya sifa kwa mama ili akumbukwe.Tumbiri anaogopa kulima Pilipili
PweintiKua mkulima anaweza pata kiasi kikubwa kushinda ata mshahara wa Rc