Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.

Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.

“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
 
Screenshot_20260611-133015~2.png
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
Maridhiano huku mmeshika mitutu
 
Faki zati sonofabitch! Wangekuwa na uwezo huo, massacre ya 2025 ingetokea?
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.

Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.

“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Ccm ilichobaki nacho ni uzushi na kuuwa watu tu.
Lishindwa kuridhiana kabla ya mauwaji mkashupaza shingo zenu mtaweza Leo?
 
Yaani cdm wasilogwe wakaingia mkenge huo utapeli wa maridhiano. Hapo ccm wanataka maridhiano fake kisha ikifika uchaguzi mwingine wapore tena, halafu kuwe na maridhiano. Hakuna maridhiano inatakiwa uwajikaji na katiba mpya ya wananchi.
 
Huu ndo ukweli.

Mungu atawachapa kiboko tu kwa mauaji yale
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.

Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.

“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Uwezo gani kama mnauza.misitu kwa waarabu ambao kwao hawana misitu. Bandari mmeuza, kama mna uwezo 60.million mnashindwa kuendesha bandari...takataka
 
Naunga Mkono hoja kwa Mazingira Halisi ya hilo kufanyika yaandaliwe bila hila.
 
Back
Top Bottom