Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

Ally Hapi: Tufanye maridhiano sisi wenyewe ndani bila kutegemea watu wa nje

Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?
Hahaha kwani anaogopa nini km yupo msafi kukiwa na watu wa nje kwani watazuia nini kuridhiana, nini shida kwani au yeye anaogopa nini watu wa nje kushiriki?

Halafu hii kuridhiana kuridhiana sijakaa nikaielewa vizuri kwanini wanaogopa watu wa nje kushiriki?
 
hatutaki mana tunahistoria ya serikali kuweka kwapani maridhiano

Lakini simlikataa nyie mnataka kuridhiana nn na nani tena
 
Back
Top Bottom