Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.
Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.
“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Maridhiano huku mmeshika mitutuKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.
Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.
“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Faki zati sonofabitch! Wangekuwa na uwezo huo, massacre ya 2025 ingetokea?Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.
Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.
“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Ccm ilichobaki nacho ni uzushi na kuuwa watu tu.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.
Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.
“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Wakati mnatenda uhalifu mbona hatukushauriana?
Huu ndo ukweli.Yaani cdm wasilogwe wakaingia mkenge huo utapeli wa maridhiano. Hapo ccm wanataka maridhiano fake kisha ikifika uchaguzi mwingine wapore tena, halafu kuwe na maridhiano. Hakuna maridhiano inatakiwa uwajikaji na katiba mpya ya wananchi.
Uwezo gani kama mnauza.misitu kwa waarabu ambao kwao hawana misitu. Bandari mmeuza, kama mna uwezo 60.million mnashindwa kuendesha bandari...takatakaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Hapi amewataka Watanzania na Vyama vya Siasa Nchini kufanya maridhiano kwa kutumia mifumo ya ndani badala ya kusubiri Mataifa ya nje kuingilia masuala ya Nchi.
Akizungumza leo Juni 19, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kahama, Mkoani Shinyanga, Hapi amesema baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakipeleka masuala ya ndani ya Nchi katika majukwaa ya Kimataifa badala ya kuyatatua ndani ya Tanzania.
“Nimesikia wanazungumzia maridhiano, nikamsikia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, nikamsikia Mnyika tunataka Ulaya waje, mimi nikajiuliza sisi hatuna uwezo wa kufanya maridhiano wenyewe hadi tuite Watu kutoka Ulaya?” amesema Hapi.
Uhuni wa Ccm na mifumo yakekuridhiana nini
Inasikitisha sanaaUhuni wa Ccm na mifumo yake