Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Chuki Chuki Chuki, upumbavu wake ni upi!!?? Kuanguka kwa Kafulila siyo kuinuka kwako, pambana upate pesa uache kuwachukia waliofanikiwa. Kwa taarifa yako Kafu anapandishwa juu zaidi ya alipokuwa...subiri.Mpumbavu yule..... Aendelee kuchambua uchumi na madeni ya taifa sasa akiwa uani kafukuzwa mezani sebuleni.