macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hapana. Nadhani ''wanasiasa'' (isomeke wachumia tumbo) wamekuchanganya kiasi cha kifikiria mambo ya kufikirika. Chalamila ni kama roboti linaloishi na liko tayari kufanya chochote ili tu mkono uende kinywani. Hakuwa na siyo ''mfia Magu'' kama unavyodhani bali ni mchumia tumbo anayejitoa ufahamu kuropoka chochote ili tu aonekane na waliomteua. Na CCM ndiyo inapenda wajinga kama hawa.Chalamila tena? Hivi huyu mama yuko serious kwl? Mtu alionesha kumdharau waziwazi leo atafanya naye kazi vp tena. Yule ni mfia Magu haamini km amekufa.
Na anaamini Samia alishiriki ktk mpango wa kufa kwake. Huyu mama simwelewi. Anabadilisha hawa viongozi km anavyobdili nguo au anatafuta nini. Kwl madaraka ya Rais ni makubwa sana anacheza anavyotaka.