Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Tumbili hana options itabidi tu aende ACT Wazalendo ...... Happi na hiyo jeuri waliyopewa na Magufuli ataishia kuwa kama Bashite ......!!
 
Chalamila tena? Hivi huyu mama yuko serious kwl? Mtu alionesha kumdharau waziwazi leo atafanya naye kazi vp tena. Yule ni mfia Magu haamini km amekufa.

Na anaamini Samia alishiriki ktk mpango wa kufa kwake. Huyu mama simwelewi. Anabadilisha hawa viongozi km anavyobdili nguo au anatafuta nini. Kwl madaraka ya Rais ni makubwa sana anacheza anavyotaka.

Hahahaha tulia...System inaakili nyingi.Huyo Bwege Mlevi anakwenda ku ufyata na hata kuwa na jeuri tena na Cheo ni kwa muda tu hapo.
 
Hahahaha tulia...System inaakili nyingi.Huyo Bwege Mlevi anakwenda ku ufyata na hata kuwa na jeuri tena na Cheo ni kwa muda tu hapo.
Huna unalojua. Mwanzo uliamini hawezi kurudishwa, Sasa hivi unakata kiuno kwa style nyingine kuwa ni muda hapo
 
hapa kilichofanywa ni kiini macho huyu Allya Happy kapita na maji tu kwasababu ya kinana ila haikuwa lengo kamili waliokuwa kwenye malengo hapa yalikuwa ni kuwatoa watu Fulani! Ally Happy kafiamo halafu kutupisha watu mbao wasijue kinachoendelea Chalamila karudishwa chezea Msonga [emoji16]

1-Stephan kigaigai -Kilimajaro

2-David kafulila -Simiyu

3-Robart Gabreal -Mwanza

4-Marco Gaguta -Mtwara

5-Wilbert Ibuge-Ruvuma

6-Charles Bunge-Kagera

7-Bilinith Nahenge-Singida

8-Joseph mkirikiti - Rukwa

9-All Happy -Mara

[emoji23][emoji23][emoji23] Nilisema mkaniita mchochezi haya [emoji847]
 
Soma tena ulichoandika. Ni Kama akili imekuruka hivi?
 
Na huyo Kafulila ndio zilikuwa zake. Yaani waandishi karibu wote pale Simiyu walikuwa kwenye payroll yake, basi ni kumsifu kila mahali hadi unasema hakuna kama yeye
Atateuliwa tena na nitakukumbusba vizuri hapahapa jf
 
Back
Top Bottom