Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Duh!
Mama anaupiga mwingi sana 🙄
 
Tuwe wapole kwanza.Ili upate nafasi uliyokusudiwa lazima kwanz uondoke kwa Ile uliopo.Mnakumbuka kichere alivyopgwa demotion akapelekw kuwa RAS huko Njombe? Baadae ilikuaje.
Mmesahau hii ya juzi ya afande kingai?Watu walisema kapelekwa kigoma atasota.Matokeo yake kawa bosi wa upelelezi.
Hata chalamila mwenyew,aliwekwa benchi saiv kaula.
Tuwe na akiba yamaneno...hatuwez jua mamlaka itawatumiaje watu hawa hapo baadae
 
Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Ally Hepi alicheleweshwa sana, alimtukana Kikwete na wastaafu wengine huku kiburi cha magufuli kikiwa kimempanda sana. ni kijana mjinga sana yule.
 
Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Wake wanne !!!
 
Back
Top Bottom