Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Chalamila tena? Hivi huyu mama yuko serious kwl? Mtu alionesha kumdharau waziwazi leo atafanya naye kazi vp tena. Yule ni mfia Magu haamini km amekufa.

Na anaamini Samia alishiriki ktk mpango wa kufa kwake. Huyu mama simwelewi. Anabadilisha hawa viongozi km anavyobdili nguo au anatafuta nini. Kwl madaraka ya Rais ni makubwa sana anacheza anavyotaka.
 
Ikumbukwe Kafulila amejengwa kisiasa na Bavicha kama ilivyo kwa Happi aliyekulia UVCCM

Hawa wamekuwa vinara wa Sifa na kuabudu katika awamu zote walizohudumu

Tutawamis!
CCM wanatafuna kwa zamu hao wamepumzishwa wakitaka kuishiwa tu watarejeshwa tena mzingani walambe tena asali.

Uongozi ni ajira labda uwe huna connection
 
Chalamila tena? Hivi huyu mama yuko serious kwl? Mtu alionesha kumdharau waziwazi leo atafanya naye kazi vp tena. Yule ni mfia Magu haamini km amekufa. Na anaamini Samia alishiriki ktk mpango wa kufa kwake. Huyu mama simwelewi. Anabadilisha hawa viongozi km anavyobdili nguo au anatafuta nini. Kwl madaraka ya Rais ni makubwa sana anacheza anavyotaka.
Ndo CCM ilivyo wanapokezana kula hata kesho Hapi atarudishwa njaa ikizidi
 
Nina uhakika huyo Ally Happy hajashtushwa na hizo taarifa maana alikuwa anamshika mama mkia huku akijua kwamba mkiani ndo nguvu ziliko.
 
Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Happi na Kafulila ni wanasiasa. Na mwanasiasa anajua kuna kupata madaraka na kuyakosa. Dk. Chegeni na Dk. Chalamila ni mfano mzuri.
 
Waje tu tukalime wote maana sisi wote ni watanzania.

Na mashamba yapo ya kutosha.
 
Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Kumbe hats nyonyi mliosoma mnawivu na roho mbaya.
Kwani kuondolewa kwao kwako umeongezewa nini?
 
Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi.

Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
Dah, hao watateuliwa nafasi zingine mkuu,Wala tusimalize maneno,

Siumesikia Chalamila karudishwa
 
Back
Top Bottom