othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kafulila akalelewe Sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau alichokifanya Jambazi Sabaya? Waandishi wengi ni "mayala" kwahio ukiwapa pesa kidoogo tu wanaweza kuandika vile unataka... mbona humu kumekuwa na threads nyingi zikimtukuza sana Kafulila kwa "maajabu" kama RC hadi Simiyu ikaongoza kwa mapato 2021/2022? Au ilikuwa ni id yake mwenyewe? Can't believe that!
Kafulila akalelewe Sasa.
Hizo threads zilikuwa za chawa wake akiamini walikuwa wanasafishia njia na nafasi kubwa zaidi kumbe ndiyo walikuwa wanamharibia.... mbona humu kumekuwa na threads nyingi zikimtukuza sana Kafulila kwa "maajabu" kama RC hadi Simiyu ikaongoza kwa mapato 2021/2022? Au ilikuwa ni id yake mwenyewe? Can't believe that!
Maskini, Musiba kaachwa tenaTukivumiliana walau kwa wiki 2 utawasikia kwenye teuzi nyingine.
Fedha... kijana mdogo kama yule anakuwaje na wake wanne kwa umri ule?
Wake wa nne unataka awe nao wakati nguvu za kuwashughulikia zimeisha ?... kijana mdogo kama yule anakuwaje na wake wanne kwa umri ule?
Fedha haramu
Wacha waisome namba eeghBaraka na laana zako zipo kwenye ulimi wako. Ulimi ndio mtaji wako, usitukane mamba kabla ya mwisho wa safari,
Ukiwa na wanne ni lzm upate msaidiziWake wa nne unataka awe nao wakati nguvu za kuwashughulikia zimeisha ?
Vuta subira waarabu wa pemba wanatambua kwa viremba.Maskini, Musiba kaachwa tena
Kama Manara vileBaraka na laana zako zipo kwenye ulimi wako. Ulimi ndio mtaji wako, usitukane mamba kabla ya mwisho wa safari,
Mke yupo kwny Wanaharakati 19 wa Chadema wakiongozwa na Kamanda Halima Mdee
Kama Lukuvi na Kabudi walivyopewa teuzi nyingineTukivumiliana walau kwa wiki 2 utawasikia kwenye teuzi nyingine.