Happi ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana,hakujua kucheza mchezo wa karata tatu,hakujua kucheza mchezo na watoto wa mjini,alijua Godfather wake ni mmoja tu na Bahati mbaya Godfather akatoweka!
Angalia michezo anayocheza Hussein Bashe, Godfather wake ni Lowasa na Rostam,Bashe aliwahi mtukana Kikwete, Bashe aliwahi tishiwa Uraia wake na kina Makamba,Ridhwan na Kikwete mwenyewe,lakini Masha akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani alimuokoa! Hadi sasa hivi anadunda,pale New Habari Cooperation wanamjua mishe zake!
Napata wasiwasi tu,kwa Bwana Ngusa Samike kutua Lindi kama RAS,Mzee wa Nandagara ukute kapewa Ngusa either atapishwe ile post, Mzee wa Nishati,alambe shavu!