Chuki Chuki Chuki, upumbavu wake ni upi!!?? Kuanguka kwa Kafulila siyo kuinuka kwako, pambana upate pesa uache kuwachukia waliofanikiwa. Kwa taarifa yako Kafu anapandishwa juu zaidi ya alipokuwa...subiri.
Wote waliowahi kusema mabaya kuhusu serikali ya Kikwete lazima waende na maji. Kafulila alisisitiza zile pesa zilikuwa za serikali wakati Kikweye akiutangazia umma ni za kina Singasinga, ulitarajia apone awamu hii ya 6? Bado wengine watafuata. Kumbuka Makamba alisema serikali na CCM vimerudi kwa wenyewe
Tayari makobazi kaja kupangua hoja. ππ ko kila aliye na mmoja anao wa haramu? Au kila aliye na wa4 hana wa haramu? Mambo mengine bhana!! DINI HIZI ni nzuri ila wapokeaji wengi ni mapunguani.