Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Video inajieleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa mbona unafukua makaburi? Hii ungemtumia inbox mkuuVideo inajielezaView attachment 1737768
Mungu alikuwa amewapa fursa Viongozi Vijana ya kutenda yaliyo mema na yenye maadili ili waaminiwe, mwisho wake wamejikosesha wenyewe.Video inajielezaView attachment 1737768
Ulabu wa madarakaVideo inajielezaView attachment 1737768
Huyo ni Wale wanaodhani hakuna marefu yenye mwishoUlabu wa madaraka
Hawa walibebwa na mfumo katiliMungu alikuwa amewapa fursa Viongozi Vijana ya kutenda yaliyo mema na yenye maadili ili waaminiwe, mwisho wake wamejikosesha wenyewe.
Wewe Ali hapi muuaji tunamuhitaji Ben saanane angalau tumzike kwa heshima hata mifupa au udongo wake! Mguse JK tena uone bata mzinga wee! Samia suluhu tumbua hii kituVideo inajielezaView attachment 1737768
Wakafie mbali wametesa sn watanzania wenzetuUmelisahau lile Arusha, Kihongosi rejea matmshi yake.
Ila kiukweli Mataga wanahali mbaya hawana uhakika kama wataendelea kuwepo.
Kawaida ya malimbu-keni!!madogo walikosa adabu na kuonyesha ushamba wa kudharau daharau kila mtu kisa ni mmoja waliyemwabubu
Ongeza Bashite , Chalamila na MuroHapi,Mnyeti,gambo,byakanwa walirudi nyuma but ni ngumu kuifuta historia.Technology utunza historia.
Hawa wapumbafu waliichezea sn nchiHuyo ni Wale wanaodhani hakuna marefu yenye mwisho