Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Raisi wenu kafa sasa , wastaafu wanaweza kurudi relini bwana Hapi jipange
msianze kumgombanisha mama Samia na watendaji wake.kama mtu anafiti na utendaji wake unaridhisha ataendelelea kuchapa kazi.na Kama anapwaya basi atasaidiwa kazi.sasa naona watu mna mihemko ya kisasi na chuki.hatuendi hivyo wandugu.
 
IPO hii pia ya Heri James kiongozi wa UVCCM

Hawa watu walikuwa wanaongea kana kwamba wamefika walikokuwa wanaenda, waliongea kana kwamba hawatakuja kufa..

Bahati njema, shina lao ndilo lililotangulia kufa...

Yaani ni full ulevi kwa kwenda mbele wa madaraka, vipesa kidogo vya wizi na kiburi cha uzima kiasi cha kuropoka lolote linalowajia kwenye midomo yao toka kichwani...
Screenshot_20210329-131321.png
 
Mheshimiwa Samia ana kazi kubwa kuhakikisha viroboto kama hawa hawaingii kwenye serikali yake. Ulevi wa madaraka ni mbaya sana. Umeona yule mwenyekiti UVCCM anavyotia huruma? Walidhani wameshateka nchi. Kuna kila sababu ya kuamini 2025 Magufuli asingetoka madarakani. Angeongeza halafu aje amkabidhi urais mtu wake wa karibu sana.
Mungu anatupenda watanzania katuokoa na jehanamu ya duniani
 
Mheshimiwa Samia ana kazi kubwa kuhakikisha viroboto kama hawa hawaingii kwenye serikali yake. Ulevi wa madaraka ni mbaya sana. Umeona yule mwenyekiti UVCCM anavyotia huruma? Walidhani wameshateka nchi. Kuna kila sababu ya kuamini 2025 Magufuli asingetoka madarakani. Angeongeza halafu aje amkabidhi urais mtu wake wa karibu sana.
Mtahangaika sana mtawaona wanadunda tu! Nyinyi kweli wa kuwashauri CCM? Badala ya kuishauri Saccos ya Chadema sasa mnapoteza muda wenu bure kabisa!
 
msianze kumgombanisha mama Samia na watendaji wake.kama mtu anafiti na utendaji wake unaridhisha ataendelelea kuchapa kazi.na Kama anapwaya basi atasaidiwa kazi.sasa naona watu mna mihemko ya kisasi na chuki.hatuendi hivyo wandugu.
Kisasi walianza wao walipopewa madaraka! Kumbuka DAB alivyowatesa kina Manji.....! Marehemu aliwapoteza sana hawa vijana! Aisee kwa namna walivyowaonea raia natamani kisasi kifanyike dhidi yao! Chalamila, Happi, Mnyeti, DAB, yule wa Hai, Kihongosi.....walijisahau sana!
 
msianze kumgombanisha mama Samia na watendaji wake.kama mtu anafiti na utendaji wake unaridhisha ataendelelea kuchapa kazi.na Kama anapwaya basi atasaidiwa kazi.sasa naona watu mna mihemko ya kisasi na chuki.hatuendi hivyo wandugu.
Hapo penye "atasaidiwa...",ndiyo pamenifanya nicheke.
 
Mtahangaika sana mtawaona wanadunda tu! Nyinyi kweli wa kuwashauri CCM? Badala ya kuishauri Saccos ya Chadema sasa mnapoteza muda wenu bure kabisa!
Piga makima hayooooo. Yamechanganyikiwa! Hivi mpwa wa Magufuli Heri James ni mtu wa kuwa mpole namna hiyo? Ni mtu wa kuomba radhi? Unakumbuka jeuri zake na tambo zake? Alikuwa amejiona yeye na kila kitu.
 
Kwani sasa si kila kitu?? Umekaa tu nyuma ya kwyboard na kutoa udaku wakati wenzako wanaendelea kula nchi.
 
Back
Top Bottom