Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Kuna yule wa hai Ole nn sijui dohhh anajisikia kama vile hanyi...na alikuwa anaongea kwa jeuri unaona kabisa kuna axis inampa kiburi nyuma....Nilidhani nitakufa kabla sijaona Makonda siku akivuliwa joho LA Uongozi itakuwaje eti nimemuona Mungu wewe. Kwl kila kitu kina mwisho usinyanyase wenzako kisa cheo..
 
Hatimaye muda si mrefu lile rungu walilotaka kuwapiga wale wote walio jaribu kumpinga Rais wao, muda si mrefu litawageukia wao wenyewe!

Malipo ni hapa hapa duniani. Hawa watoto walijisikia sana enzi za Rais wao magufuli! Walijiona wako juu ya kila kitu. Yaani walimheshimu na kumtukuza yeye tu! Wengine wote waliobakia, walionekana kama takataka tu mbele ya macho yao! Yako wapi sasa!! 😇
 
Back
Top Bottom