Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Hawa ni wakuozea jela hakuna namna watapona
Mheshimiwa Samia ana kazi kubwa kuhakikisha viroboto kama hawa hawaingii kwenye serikali yake. Ulevi wa madaraka ni mbaya sana. Umeona yule mwenyekiti UVCCM anavyotia huruma?

Walidhani wameshateka nchi. Kuna kila sababu ya kuamini 2025 Magufuli asingetoka madarakani. Angeongeza halafu aje amkabidhi urais mtu wake wa karibu sana.
 
Mheshimiwa Samia ana kazi kubwa kuhakikisha viroboto kama hawa hawaingii kwenye serikali yake. Ulevi wa madaraka ni mbaya sana. Umeona yule mwenyekiti UVCCM anavyotia huruma? Walidhani wameshateka nchi. Kuna kila sababu ya kuamini 2025 Magufuli asingetoka madarakani. Angeongeza halafu aje amkabidhi urais mtu wake wa karibu sana.
Ndiyo ulikuwa mpango wao kuanzia kwa Ndugai
 
Alitumika tu huyu.
Aseme sasa leo aone kieleweke.

Bashiru majuzi kaingilia kikao cha CC, kaondolewa kama kuku aliyepotea njia.

Watu hawakumbuki historia, Kolimba alisema maneno karibu na hayohayo kumponda "mstaafu" Mwalimu Nyerere.
Alipoitwa kujieleza "aorta" ikazidiwa mzigo, na ikawa tumpeleke tumpeleke.
 
madogo walikosa adabu na kuonyesha ushamba wa kudharau daharau kila mtu kisa ni mmoja waliyemwabubu
Hao madogo walishajisahau kuwa Mungu ndiye muweza wa yote!

Badala yake wao wakaamua kumwabudu binadamu mwenzao Jiwe, ambaye hivi sasa ametwaliwa na Mungu wetu.

Sasa aibu kwao wanafikiria watajirudi vipi na kutubu dhambi mbaya sana waliyotenda ya kumwabudu binadamu, badala ya kumwabudu Mungu wetu aliyetuumba sisi sote na dunia hii tuishiyo?
 
Umelisahau lile Arusha, Kihongosi rejea matmshi yake.

Ila kiukweli Mataga wanahali mbaya hawana uhakika kama wataendelea kuwepo.
Lakini kihongosi anachapa KAZI Arusha na wananchi wanampenda. Ile ulkua propaganda tu ya kisiasa. Lakin as for now ni among vijana wanayofanya KAZI nzuri sana
 
Back
Top Bottom