Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Huyo ni mmoja wa viongozi ambao hua simuelewi ana asili ya kujipendekeza pendekeza hivi


Jamaa ni kiburi mno, anasema kiongozi yeyote mstaafu akijitokeza popote "atatwangwa".😲
 
Makonda alipomtukana Lowasa. Akawa, DC na hatimaye RC, ilikuwa chachu kwa vijana wa CCM walioanza mashindano ya kutukana wakubwa. Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
 
Ally Hepi huyobna ka sura kake kike kazi anayo amemchafua master mind mwenyewe basi sawa asubiri kusikia mlio wa tindo soon ! Kweli Mungu amesikia kikio cha walio haki .....mwendazake amepusha uchunguzi
 
Back
Top Bottom