Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
itamtafuna maisha yake yote na kizazi chake, kiburi kuliko lusifa.Video inajielezaView attachment 1737768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itamtafuna maisha yake yote na kizazi chake, kiburi kuliko lusifa.Video inajielezaView attachment 1737768
Vijana walilewa madaraka haraka sana. Matako yaliwalia mbwata mapema sana.Mungu alikuwa amewapa fursa Viongozi Vijana ya kutenda yaliyo mema na yenye maadili ili waaminiwe, mwisho wake wamejikosesha wenyewe.
kilichonifurahisha ni body language ya Hapi , Yaani utadhani ni nabii Nuhu anapandisha wanyama kwenye Safina yake !
Mapumbavu sana hayo mavijana,yalimtegemea mwanadamu ambaye hana guarantee,yakatukana sana wazee waliyoyafanya yaonekane,sasa yanaona aibu tu pumbavu zao
Mapumbavu sana hayo mavijana,yalimtegemea mwanadamu ambaye hana guarantee,yakatukana sana wazee waliyoyafanya yaonekane,sasa yanaona aibu tu pumbavu zao
Kapelekwa Tabora akalogwe huko !Kanamuiga Nyerere hapo kwenye kuongea. Eti anakunja na sura, anarudiarudia maneno, kustammer kwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yani hawa vijana ni washamba sijawahi kuona! Huu wote ni ushamba na ulimbukeni. Kwa kweli turudi tu kwa wazee kwenye hizi nafasi. Hawa wafundishwe na wapate experience ya uongozi kwa nafasi ndogo ndogo kwanza. Twende ngazi kwa ngazi.
HahahahaAlikuwa anamnanga Kikwete.. hamjui Kikwete huyu, amuulize Lowassa. Sasa ngoma ipo uwanjani aicheze
Kwani we unajisikiaje?Hivi unajisikiaje sasa
Ana bahati si mgalatia.Kwa sasa amekuwa mkimya sana yaani inawezekana anawasiwasi mkubwa sababu wale wazee wastaafu, aliwaitisha waandishi wa Habari akaishia kuwaponda kwa sasa wapo karibu na Madam
Bwana mdogo inawezekana kwa sasa anajuta sana huko alipo yaani yawezekana kila kukicha anasali tu jk asije akamsagia kunguni maana akikumbuka yale maneno yake hana amani.
Hili ni fundisho kwa vijana ukipata madaraka ya kuteuliwa kuwa makini sana maana wengi hudhani wanaowateua wataishi milele kumbe kuna kifo
Makonda je mbona mgalatia na ameachwa?Ana bahati si mgalatia.
🤣🤣🤣🤣🤣 Watu mna manenoYani sasahivi akitingishika tu sindano inaingia[emoji23][emoji23][emoji23] akae kwa kutulia