Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Tumetoka mbali zama zile baba yao akinangwa walishindana kujibu mashambulizi kutetea utopolo.Huku bashite anapokea gambo anakuja chalamila speaker mbovu anamaliza sabaya Musiba majura akiwa refarii leo wameufyata msemo wa kizanzibari.

WAMEUFYATA
 
Huo ndio ulikuwa uhalisia na tabia zao
Yaani wote waliokuwa na Kiburi na majivuno wakati huo na sasa wameingiza mikia nyuma

Inadhihirisha tabia zao za mwanzo ndio zilikuwa kweli ila sasa wanaona baba hayupo wa kuwapigia simu na kuwapongeza kwa ubaya
Tabia haibadiliki hizo ndio zilikuwa tabia zao hata huyo dogo anaesota jela asili yake ni jambazi tu
Walipata Kazi sio kwa weledi bali kwa tabia alizotaka baba.
 
Huo ndio ulikuwa uhalisia na tabia zao
Yaani wote waliokuwa na Kiburi na majivuno wakati huo na sasa wameingiza mikia nyuma

Inadhihirisha tabia zao za mwanzo ndio zilikuwa kweli ila sasa wanaona baba hayupo wa kuwapigia simu na kuwapongeza kwa ubaya
Tabia haibadiliki hizo ndio zilikuwa tabia zao hata huyo dogo anaesota jela asili yake ni jambazi tu
Mkuu jana nimeipitia tena press yake pale youtube najiskia kucheka tu jamaa hakusoma alama za nyakati
 
Tumetoka mbali zama zile baba yao akinangwa walishindana kujibu mashambulizi kutetea utopolo.Huku bashite anapokea gambo anakuja chalamila speaker mbovu anamaliza sabaya Musiba majura akiwa refarii leo wameufyata msemo wa kizanzibari.

WAMEUFYATA
Enzi zile bashite aliwaambia wabunge wote warudi dodoma asiwaone mjini
 
Back
Top Bottom