Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Mkuu jana nimeipitia tena press yake pale youtube najiskia kucheka tu jamaa hakusoma alama za nyakati

Hawa jamaa watapata maradhi ya ajabu sana

Yaani kazi yake ilikuwa ya kumchekesha Mfalme ila hakujua nao hufa [emoji23][emoji23]
 
Wakati wa JPM waliona atatawala milele. Kumbe wakati wowote na saa Mungu anaweza badilisha Mambo..utoto ulimsumbua na kukosa hekima.kapata somo na fundisho.wajue hiyo v8 na cheo saa yoyote huna ."Utawaambiaje wazee wastaafu wafunge midomo muda wao umeisha"

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dogo kwa sasa hata kujamba anajiuliza sio kipindi cha magu walikua wanakunya kabisa hadharani
 
Kwa sasa amekuwa mkimya sana yaani inawezekana anawasiwasi mkubwa sana sababu wale wazee wastaafu kuwatolea kauli chafu kama zile ilikuwa si jambo jema tena kwa kijana mchanga kwenye siasa

Wale wazee aliowatisha na kuwaponda mbele za waandishi wa Habari, kwa sasa wapo karibu sana na Madam hasa Jk

Bwana mdogo inawezekana kwa sasa anajuta sana huko alipo yaani yawezekana kila kukicha anasali tu jk asije akamsagia kunguni maana akikumbuka yale maneno yake hana amani.

Hili ni fundisho kwa vijana ukipata madaraka ya kuteuliwa kuwa makini sana maana wengi hudhani wanaowateua wataishi milele kumbe kuna kifo
Mji..nga yule sasa hivi anakesha kwa waganga.
 
Angekuepo mkristo angeshatolewa siku nyingi kwenye hiyo nafasi dini ndio inamlinda tokea mama aingie madarakani hajawahi kumtoa muislam kwenye position yake except Bashiru Ally tuu. Mama amekuepo akiwatoa wakristo katika position tuu
 
Duuh
 
Back
Top Bottom