Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Huyo ni mmoja wa viongozi ambao hua simuelewi ana asili ya kujipendekeza pendekeza hivi
Mwacheni alime nyanya sasa; anajinasibu kuwa alisomea sheria basi aitumie elimu yake hiyo kwenye kilimo na kuuza nyanya!!!
 
Mwacheni alime nyanya sasa; anajinasibu kuwa alisomea sheria basi aitumie elimu yake hiyo kwenye kilimo na kuuza nyanya!!!
Wastaafu aliowatulana ndio wameshika hatamu ......najua sababu ya........siku atarudishwa najua ameshaenda kuomba msamaha.....ipo siku utasikia karudishwaaa......
 
Mbona mnafukua makaburi wazee...

Kijana ana maisha yake saivi.. he is now a role model to many..
 
Sasa hivi kitakuwa kimejikunyata sehemu huku kinajuta kwa kushindwa kuchunga ulimi wake.
Waswahili wana msemo wao unasema "Mungu Kibidu"
 
Wastaafu aliowatulana ndio wameshika hatamu ......najua sababu ya........siku atarudishwa najua ameshaenda kuomba msamaha.....ipo siku utasikia karudishwaaa......
BASI HATA kingwangalla atarudi!!!
 
Karma never err. .hapo kwenye popote watakapojitokeza tutawatwanga ndipo laana ilipoanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…