Mwambie huyo chizi akae kimya, wenye chama tumerudi - eboo.Piga kelele wewe.
Kuna chizi nipo nae hapa analalamika tyuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie huyo chizi akae kimya, wenye chama tumerudi - eboo.Piga kelele wewe.
Kuna chizi nipo nae hapa analalamika tyuuuu
Utadhani kinyonga ambaye hubadiri rangi yake kufuata mazingira aliyomo. Lakini pia kama bendera kufuata upepo. Kibaya zaidi, kujipendekeza kwa uongozi uliopo ili kuendelea na madaraka.Uso umemshuka kama ameshikwa uchawi vijana wanauza utu wao wanasahau maisha yanasonga kuna kesho, Hawa vibaraka wa Meko walituendesha kimabavu sana sasa serikali ambayo kila mtu ana Uhuru wake umerudi mie sijali wanaona kiasi gani sababu nami natafuta hiyo fursa nikiipata hewala na nikikosa najua sitakosa hata ya kula .
Yule jamaa alikuwa anakula mwenyewe na kikundi chake pekee na walikuwa wachoyo sana na wanajifanya sio wezi hawataki mtu aingie kwenye syndicate yao kabisa.
There's new sheriff in town.
View attachment 2171348
OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA!!LZM ASHAOMBA RADHI HUYU BWANA MDOGOVideo inajielezaView attachment 1737768
Jamaa watakuja kuungua mno kama kweli huo moto upo yani sura inaonekana wazi kijamaa ni kichumia tumboKanajifanya kazalendo eti kanakunja na sura kumbe kapigaji tuu.
Hiki chama kinaturudisha nyuma sana kimaendeleoCcm hakuna aliye msafi
Una uhakika....unafikiri alikuwa hajuwi vijana wa Kikwete (Green Guards) walikuwa wanateka watu na kuwapoteza? Yeye wakati huo si alikuwa Katibu mkuu wa Chama? HAKUNA mtu msafi ndani ya kile chama, wote wanateteana maslahi na uovu wao.Ni bora anawua tembo, kuliko aliyekua anadhuru na kuua binadamu
Aliwadharau au hakuwadharau ... !!??msianze kumgombanisha mama Samia na watendaji wake.kama mtu anafiti na utendaji wake unaridhisha ataendelelea kuchapa kazi.na Kama anapwaya basi atasaidiwa kazi.sasa naona watu mna mihemko ya kisasi na chuki.hatuendi hivyo wandugu.
Chalamila haukuwa anakunya kunya hovyo kama huyu mshamba . Na pia chalamila alikaa kimyaa ( uungwana ) hakutaka kunyanyua kichwa hata kidogoKama Chalamaila amerejeshwa hata huyo huenda akarejeshwa ni swala la muda tu.
Bongo we are serieus!
Imeniuma Mtaka kupewa demotion [emoji24]
Yani mashine kama ile kweli inapelekwa mkoa Mdogo badala ya mkubwa ?! [emoji24]
Totally demotivating!
Mwenyezi Mungu ampe kustahamili.
Watu tunamtamani Antony apelekwe kwenye mikoa ya asili na chimbuko letu akalete maendeleo!
Ni wale wale tu!Chalamila haukuwa anakunya kunya hovyo kama huyu mshamba . Na pia chalamila alikaa kimyaa ( uungwana ) hakutaka kunyanyua kichwa hata kidogo
Happy mdomo ulikuwa mchafu na alikosa kuwa mnyenyekevu tofauti na chalamila ni watu tofauti sana haoNi wale wale tu!
If we are speaking of fairness!
wewe kumbe ni upeipo mashine zinapelekwa mikoa midogo ili ipate maendeleo unataka apewe mikoa mikubwa ambayo tayari imeishpata maendeleo makubwa ya nini anatakiwa akaendeleze mkoa wa njombe kielimu na kimaendeleo ndio hoja iyoKama Chalamaila amerejeshwa hata huyo huenda akarejeshwa ni swala la muda tu.
Bongo we are not serious
Imeniuma Mtaka kupewa demotion [emoji24]
Yani mashine kama ile kweli inapelekwa mkoa Mdogo badala ya mkubwa ?! [emoji24]
Totally demotivating!
Mwenyezi Mungu ampe kustahamili.
Watu tunamtamani Antony apelekwe kwenye mikoa ya asili na chimbuko letu akalete maendeleo!
Kwa matumizi ya baadaeWe jamaa mbona unafukua makaburi? Hii ungemtumia inbox mkuu
Yani nimecheka kanijifanya Nyerere Ally HapiKanajifanya kazalendo eti kanakunja na sura kumbe kapigaji tuu.
🤣🤣Video inajielezaView attachment 1737768
Ally Happy ni mmoja kati wa vijana wachache wenye uthubutu wa kuzungumza kwa uwazi kile wanachokiamini bila woga.View attachment 2306503
Hii statement ya Ally Happy ilimuwekea ukomo wake wa kisiasa.
Ni somo kwa vijana kuwa wazee wana mizizi mirefu na hawasahau.
Katika hii Awamu ya 6, nilijua tu its a matter if time kuwa Ally Hapi atakata pumzi ya kisiasa muda ukifika.
Karibu kwenye zege ndugu Ally Hapi.
Haya, akazungumze kwa mkewe sasa!Ally Happy ni mmoja kati wa vijana wachache wenye uthubutu wa kuzungumza kwa uwazi kile wanachokiamini bila woga.
Vijana wengi wa kitanzania ni goigoi na walamba viatu!
Sasa kama hajui mchezo wa siasa, akalambe viatu vyake, pengine ataukata.Ally Happy ni mmoja kati wa vijana wachache wenye uthubutu wa kuzungumza kwa uwazi kile wanachokiamini bila woga.
Vijana wengi wa kitanzania ni goigoi na walamba viatu!