Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Alikuwa sahihi, tuna viongozi wengi wapuuzi na hawajuwi wajibu wao wakiwa kazini. Mfano Kinana, huyu jamaa alikuwa jambazi.....aliua sana tembo na wanyama wengine kuwauzia waarab na CCM wanalijuwa hili. Eti leo mnarudisha kibaka kuongoza chama, are they serious? Ukimwangalia tu usoni Kinana anaonekana ni jangili.
Umemuona Kinana tu jangili ndani ya ccm?
 
Mungu alikuwa amewapa fursa Viongozi Vijana ya kutenda yaliyo mema na yenye maadili ili waaminiwe, mwisho wake wamejikosesha wenyewe.
Mungu akaona hawafai wanawaharibia watu na ameona bora arejeshe wazee!!!! Ha ha ha!!! Wameshaanza kujikomba eti ni mtu mwenye uwezo mkubwa!!! Bado kabisa!!!! Wataona tu!!!
 
Haka kajamaa naonaga kamefanana na mkwere...
ama ni macho yangu yanazingua!!
 
Huyu Ali happy kichwa chake kwa mbele forehead utadhan 'dikhead'
 
...Najaribu kuwa free thinker! kwa miaka mingi nimekuwa nikisia Mzee Lowasa, Kinana na kwa hivi karibuni Kikwete ilifikia wakati kijana wa Kikwete huyu naibu waziri kila kituo kipya cha mafuta kilichofunguliwa ilisemekana ni chake! Loawassa aliwahi kuwapa challenge Chadema kipindi kile wamemshikia bango kuwa ni fisadi, aliwaomba kama kuna mwenye ushahidi aende mahakamani, huyu Kinana aliwahi shutumiwa na Mchungaji Msigwa kuwa meli yake ilikuwa imebeba mankotena ya meno ya tembo, Kinana akaenda mahakamani na mahakama ikaona Msigwa ameshindwa kuthibitisha madai yake na ikamuamuru alipe fidia, aliishia kumuomba radhi Mzee Kinanan hadharani! Sasa hizi tuhuma za ufisadi zina ukweli kiasi gani au ndio mambo ya kurithishana habari za kufikirika!
 
Uso umemshuka kama ameshikwa uchawi vijana wanauza utu wao wanasahau maisha yanasonga kuna kesho, Hawa vibaraka wa Meko walituendesha kimabavu sana sasa serikali ambayo kila mtu ana Uhuru wake umerudi mie sijali wanaona kiasi gani sababu nami natafuta hiyo fursa nikiipata hewala na nikikosa najua sitakosa hata ya kula .

Yule jamaa alikuwa anakula mwenyewe na kikundi chake pekee na walikuwa wachoyo sana na wanajifanya sio wezi hawataki mtu aingie kwenye syndicate yao kabisa.

There's new sheriff in town.

IMG-20220401-WA0027.jpg
 
Madogo walikosa adabu na kuonyesha ushamba wa kudharau dharau kila mtu kisa ni mmoja waliyemwabudu.
Bosi wao mwenyewe alikuwa mchunga ng'ombe aliidharau kila mtu mshenzi sana. Waache wajifunze.
 
Back
Top Bottom